Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,465
- 23,727
Nimegundua ni ngumu sana kuwalaani au kuwachukia Wayahudi. Hili dhehebu la Shia katika Uislamu ni zao la Myahudi ambaye alitumwa aende anzisha hili dhehebu katika uislamu. Abdullah Ibn Sabai Karne ya 7 huko.
Nimekuwa nikitafakari sana ni sehemu chache sana hawa Wayahudi huku asili yao. Chache sana. Na mkitizama kuna utofauti mkubwa wa Answar Sunni na Shia. Shia wengi hata shule wameenda wapo moderate kidogo.
Tofauti na sisi Answar Sunni. Sisi huwa tuna hisia sana.... Taakbirrrrr...
Tunahisia sababu sisi si kama makafir haya yanaleta na ufahamu wa ilimu duniya. Sisi ni ilim akhera tu na hatujali wala nini. Tumswalieni mtumee ndugu zanguni. Hali ni mbaya
Inakuaje aina fulani ya uislam wengi ni jamii moja? Jumuiya kama aga khan na zingine nyingi unakuta ni waislam fulani, halafu hawana mambo ya fujo na vita, wao ni ku deal na mambo ya elimu na afya tu hawajihusishi na mambo ya vita
Tanzania ni hakuna Washia au ni less than 2%, duniani kote only 15% pekee ya Waislam ndio Washio, sehemu kubwa yao (70%) inapatikana Iran, then Iraq, Lebano, Bahrain, Syria na Yemen kwa mbali.Hivi hawa wanaojiita ni waislam wa BAKWATA ndio hao washia na hawa wa siasa kali ni wasuni? Vipi kuhusu waislam wa ahmadiya, ismailiya na mabohara? Je watalebani ni waislam gani?
Wale ni Wasunni, ila Saudi Arabia kuna aina ya Usunni inaitwa WahabiKuna ule uislam wa kina osama bin laden, anajulikana ni msaudia lakini si msuni yule ana uislam wake na kundi lake la al qaeda
Hao ni Washia au aina ya dhehebu ya Kishia, hakuna Uislam usio na fujo, wako kwenye mission ya kuunda mazingira ya fujoInakuaje aina fulani ya uislam wengi ni jamii moja? Jumuiya kama aga khan na zingine nyingi unakuta ni waislam fulani, halafu hawana mambo ya fujo na vita, wao ni ku deal na mambo ya elimu na afya tu hawajihusishi na mambo ya vita
Umeitoa wapi hii Chizi Maarifa ?
Eh! Nimewakumbuka hawa wahabi... Ila naona idadi yao haikui, na hawasikikiWale ni Wasunni, ila Saudi Arabia kuna aina ya Usunni inaitwa Wahabi
Duuh kweli uislam vipengele....Kuna wengine wanajiita salafi...Wale ni Wasunni, ila Saudi Arabia kuna aina ya Usunni inaitwa Wahabi