Nataka Nyumba Nzima, vyumba vitatu vya kulala,
Fensi, security camera, parking, inajitegemea kila kitu na isiwe uswahilini, pia iwe Krbu na barabara Maeneo Buhongwa au Airport Bajeti yangu mil 6 Kwa mwaka Ukiwa Tayari Namba IPO DM kwako nitumie picha nipo tayari muda wowote