Mwanza to Dsm

Mwanza to Dsm

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
2,767
Reaction score
1,068
Naomba kujua usafiri wa basi kutoka Mwanza hadi Dsmni Tshs ngapi wadau?
 
Panda bus la Ally's,nauli ni sh 50000,kutoka mwanza mpaka dar.
Kati ya mabasi said ya 40 kutoka mwanza au yanayopitia Mwanza umeona la Ally's tu? Halafu basi zenu zina mwendo mkali na rafu nyingi sana barabarani. Waonyeni madereva wenu waache hizo tabia.

Mimi ni mteja wenu sugu, natarajia kuzikacha.
 
Kama unaona yanakimbia sana panda Bajaj
 
Mkuu bora upande punda ama mkokoteni pesa nyingine weka akiba uje ufanye investment
 
Chagua Kisesa mkuu 50k utainjoi safari yako,,
 
Mwenzio hakusema kwa ubaya.
Mbona unamjibu kihuni?
Likitokea la kutokea kwa sababu ya mwendokasi yoyote hata wewe yanaweza yakakukuta.
Kwani kampuni ipo 1. Achague usafiri wa kampuni nyjngine.
 
Back
Top Bottom