Linatafutwa jitu hapo.Habari za asubuh Wana ukumbi
Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌
Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.
Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣
Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed
Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Hamna huwa nafanya nikibanwa na genye, afu akiwa mbali nami.Hee kumbe ndiyo tabia yake hiyo, basi sawa tumuache tu, au ni muongo tu anatuchora humu hata hayafanyi hayo anayoyasema🤔
Tukajua iron chuma kweli kumbe mwepesi kama manyoya bana😀😀Iron imekutaba na moto...mwacheni Ironbutterfly afurahie maisha ni mafupi wakuu😂😂
Yeah ni tabia yake. Tumuache tu, tusimjaze attention, tumtakie kila la heri.Hee kumbe ndiyo tabia yake hiyo, basi sawa tumuache tu, au ni muongo tu anatuchora humu hata hayafanyi hayo anayoyasema🤔
Duh! Unakua serious kwenye Fake IDImagine kuna wajinga wamemfata hadi pm kumtukana[emoji1787][emoji1787]
Kila siku tunawaambia humu ukiwa serious sana utakufa kwa presha
Unamwonea, sio ironlady ni IronbutterflyTukajua iron chuma kweli kumbe mwepesi kama manyoya bana😀😀
Form four Sijamaliza, vp mbn kama umepanic boyWe una utaalamu gani wa uandishi?
Ulisomea chuo gani?
Hiyo ni taaluma ya watu
Usilete kimbelembele wakati hata form four ulipata zero👌
Una genye kama za kuku huwezi hata kuhimili kidogo ukamtunzia mumeo? Mfate huko huko mbali mkanyanduane, hivi siku akigundua je atakachokufanyia utatusimulia humu?Hamna huwa nafanya nikibanwa na genye, afu akiwa mbali nami.
Mbona unamuita boy tena.Form four Sijamaliza, vp mbn kama umepanic boy
Typing errorMbona unamuita boy tena.
Achana na hiyo butterfly tumia hiyo iron😀Unamwonea, sio ironlady ni Ironbutterfly
Siongeagi na wajingaForm four Sijamaliza, vp mbn kama umepanic boy
Ngoja tusubiri. Mi nishawahi ona wanawake ambao waume zao wako mbali, na hawatawaliwi na genye, mume anarudi wanafanya Yao, then anaendelea na shughuli zake za kusafiri. So huwa ni tabia ya mtu husika, tabia hujitengeneza na kuja kuacha kama alivosema Iceberg9 , ni Mungu tu ndo anaweza mbadilisha. Hapa mnajaza upepo, muacheni akafanye.Una genye kama za kuku huwezi hata kuhimili kidogo ukamtunzia mumeo? Mfate huko huko mbali mkanyanduane, hivi siku akigundua je atakachokufanyia utatusimulia humu?
Muache mzee mwenzangu alaa😂Achana na hiyo butterfly tumia hiyo iron😀
Hahaa kumbe ndiyo tabia zenu wazee eehMuache mzee mwenzangu alaa😂
Yule bwege hawezi gunduaUna genye kama za kuku huwezi hata kuhimili kidogo ukamtunzia mumeo? Mfate huko huko mbali mkanyanduane, hivi siku akigundua je atakachokufanyia utatusimulia humu?
ID nyingine ya kiume imeenda hiiHabari za asubuh Wana ukumbi
Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌
Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.
Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣
Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed
Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Mwite aje atoe maoni yake🙏