Ndoa zimekua ni taasisi za ufuska, ndoa hazina thamani kama hapo awali, hapo awali mtu ukioa yes tunasema sasa kijana kafanya maamuzi ya busara na ya hekima na binti yetu kajiheshimisha katika jamii na familia yetu, lakini siku hizi wanaongozwa kwa ngono chafu ni wanandoa yani mtu akigombana tu na mwenzake huyoo anaenda kutafuta mchepuko... Karne hii ndiyo neno mchepuko limekua kinara na kushika akili za watu wengi hadi watoto siku hizi wanajua neno mchepuko ni nini... Tuendelee kuelimisha lakiniKuna wakati wapinga ndoa akina dronedrake mi nawaelewa. Ndoa za siku hizi hazina maana. Imagine huyu ndo mke wako dah! [emoji706][emoji706]
[emoji2425][emoji344]Mpk hapo hata tukikushauri huwezi kutuelewa
Nenda ila mumeo asijue utakuwa single maza
Na uwe makini usije kumpelekea mumeo magonjwa shosti
Ushapokea boom lakini? Batch 1 ishatoka muende Chuo mkasome sio mnaenda kudinywa tuHahah unaona wivu?
Ntamtafuta kesho
Jamaa ni handsome balaa
Afu ana maamuzi
Mnakuwaga washauri wazuri mada aina hii ikiletwa na ke ila ingekuwa me😂😂😂Ndoa zimekua ni taasisi za ufuska, ndoa hazina thamani kama hapo awali, hapo awali mtu ukioa yes tunasema sasa kijana kafanya maamuzi ya busara na ya hekima na binti yetu kajiheshimisha katika jamii na familia yetu, lakini siku hizi wanaongozwa kwa ngono chafu ni wanandoa yani mtu akigombana tu na mwenzake huyoo anaenda kutafuta mchepuko... Karne hii ndiyo neno mchepuko limekua kinara na kushika akili za watu wengi hadi watoto siku hizi wanajua neno mchepuko ni nini... Tuendelee kuelimisha lakini
Mbona hela.hujaweka?????Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi,kanizid manake mie nina cm 160
Hana kitambo,ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Afu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
Duh hadi wewe? Si ulisema kuwa mtoto wa mamamkwe alikubadilisha dini, leo unamsema kuwa huridhiki.Mwanaume mmoja hatoshi tunavumiliaga tu
Mwanaume mmoja asipokutosha inawezekana umeshamkinia au ... Your thoughts already underlined those words mwanaume mmoja hatoshelezi and you will never be satisfied utarukaruka kila mahali na utampa anaetaka, kuwa mwangalifu na maneno yako bcoz your body doesn't know the differenceMwanaume mmoja hatoshi tunavumiliaga tu
Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Hakuna linalofichika hasa jambo la kiovu shetani anakuleta kwenye dhambi na atahakikisha inajulikanaHawezi jua,ye Yuko daslam,mie mwanza,atajuaje?
Na mimi ukweni wananiamini manake niko mwaminifu na straight forward,hata akisema wazazi wake watamkatalia
Zana muhimu[emoji108]
Sasa kisa handsome ndo akugonge,
Huoni unamvunjia heshima mume wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharange ya Mbeya..Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Pole sana, una roho ya kulipiza kisasi.Wala ni kweli
Jamaa tulisoma wote chuo kikuu
Mie nikaajiriwa serikalini ye hakubahatika
Nikampa idea ya kufungua kampuni ya aliyosomea,tulisoma course moja,nikawa Nampa michongo ya kazi,hadi kampuni ikasimama,na alivoanza pata visent ndo mizozo na kucheat vikaanza,so hanistui.
Usihisi na uka support no evidence no right to speak... Na hizo changamoto za mume wake hazijustify na kuhalalisha achepuke mna viapo mlivyokula vile viapo vya ndoa vinaishi mbinguni na dunianiBinafsi mimi sikulaumu sana ninaangalia upande wa pili maana yawezekana huyo mme wako uliye naye hafanyi chochote labda ana changamoto ya tezi dume au ugonjwa wa kisukari kiasi kwamba anashindwa kutimiza majukumu yake ya kifamilia kwa upande wa mahusiano ya kingono.
Hata hivyo,kama huu ndiyo ukweli inabidi uwe na tahadhari mara unapotoka kuwa mbali na familia yako ukidhani sasa umepata uhuru.Uwe na mtu mmoja ambaye ni mwaminifu awe anakusugua kuondoa tamaa ya kushobokea wanaume eti kisa ni handsome over and out.
Ukisoma story ya huyu dada utagundua mume wake ndo kasababisha yote haya, yeye alimtoa mumewe kwenye umaskini , mumewe akamsaliti na kaoa mke mwingine.Ungemuuliza mumewe sio handsome?
Yeah na sikuhizi Tiba zipo.Usihisi na uka support no evidence no right to speak... Na hizo changamoto za mume wake hazijustify na kuhalalisha achepuke mna viapo mlivyokula vile viapo vya ndoa vinaishi mbinguni na duniani
Yes soon itajulikana kuanzia ukweni mpaka Dar Es Salaam, although ana sababu za msingi kwa upande wake, hatasikilizwa.Hakuna linalofichika hasa jambo la kiovu shetani anakuleta kwenye dhambi na atahakikisha inajulikana
Kuna kipande kakiruka huyo🤣🤣🤣 Haiwezekani.Mazungumzo:
Mkaka Shababi: we sista njoo
Chuma Kipepeo: haya
Mkaka Shababi: waitwa nani
Chuma Kipepeo: siongeagi na waume za watu
Mkaka Shababi: mimi bachela
Chuma Kipepeo: mimi siko singo
Mkaka Shababi: waenda wapi
Chuma Kipepeo: kuchukua mtoto shule
Mkaka Shababi: ok, nipe namba yako
Chuma Kipepeo: sitoi namba kwa stranger
Mkaka Shababi anachukua simu ya Chuma Kipepeo anaingiza namba zake na kujibipu,
Mkaka Shababi: baada ya lisaa nitakucheki mchumba
Kipepeo Chuma: hehehehe haya
Hata wale wa Uwanja wa Fisi wanaringa ringa kidogo [emoji849]