mahololelo
Member
- Oct 11, 2011
- 32
- 5
Kesi zipi hizo za kidini..??jiji la mwanza hapatoshi bunduki mabomu ya machozi yametawala kutokana na vurugu zinazohusishwa na kesi ya waislam na wakristo,maduka yamefungwa mambo hayaendi hapa
Huu uchochezi wadini umeletwa na maghamba na serikli yake, matokeo yake ndio hayo!!!!!!!!!!!!! Ehe Mungu tusaidie Tanzania utuepushe na baraa hili!!!!!!!!!jiji la mwanza hapatoshi bunduki mabomu ya machozi yametawala kutokana na vurugu zinazohusishwa na kesi ya waislam na wakristo,maduka yamefungwa mambo hayaendi hapa.wanatakaka mahakama iwakabidhi mtuhumiwa wamuhukumu wao
Huu uchochezi wadini umeletwa na maghamba na serikli yake, matokeo yake ndio hayo!!!!!!!!!!!!! Ehe Mungu tusaidie Tanzania utuepushe na baraa hili!!!!!!!!!
umechelewa mkuu, ulipaswa kumuomba Mungu mapema awape Watz uwezo wa kutambua viongozi wazuri. Maji tulishayamwaga tena, tuombee isifike kiasi cha kutisha
There you are mkuu....maake bado hatuelewiNyoosheni maelezo mbona hamueleweki/
ANAYETAFUTWA NI MKRISTU AU MUISLAM/ NA KWA NINI???
...Mtuhumiwa ni nani huyo??!!jiji la mwanza hapatoshi bunduki mabomu ya machozi yametawala kutokana na vurugu zinazohusishwa na kesi ya waislam na wakristo,maduka yamefungwa mambo hayaendi hapa.wanatakaka mahakama iwakabidhi mtuhumiwa wamuhukumu wao