Mwanza kampeni za CCM hadi usiku wa manane? Ni hatari

Makamanda wa mitaa hii naomba mtafute mayai viza, Ukisikia tu gamba lolote linapiga kelele usiku lishughulikieni haraka sana kwani hamna sheria ya kufanya kampeni za maspika muda wa usiku!
 
Siku zinakuja wataanza hata kuwatawaza wote walio puu,yote hii ni kutafuta wapum.bavu na walio laaniwa kuunga mkono maslai yao!.
 
Niliwaona pale Sinai wakiwa na mkutano yaani walikuwa wenyewe na manguo yao ya kijani kama bangi...
 

Sio ccm pekee..tafuta kujua kwa undani tu utagundua hata chama pinzani kinafanyaje hapa mjini
 
Hao CCM wasiwe kama mugabe sasa watuongoze tangu uhuru aaaaa tunashkuru kwa mema yote waliyo tufanyia tukipe nafasi chama kingine chochote sasa....
 
Mi nimelala kwenye kitanda cha mgombea wa CCM Bi.Ashuru huku Mwanza,ameniomba kura usiku kucha
 
Mi nimelala kwenye kitanda cha mgombea wa CCM Bi.Ashuru huku Mwanza,ameniomba kura usiku kucha

Bila shaka tarehe 14 Desemba 2014 utampigia kura kama umejiandikisha. Naamini ulikumbuka kulala na 'viatu', vinginevyo uchaguzi wa mwakani waweza kuusikia kwani watu wengi kwenye hicho chama ni wagonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…