Nipo kwenye basi la Musoma express, nimetoka dar naelekea musoma usiku huu naona magari na maspika yanapeperusha bendera za CCM huku wakiomba kura, mfano buhongwa nimewaona, mkuyuni, Mabatini na Kisesa.wenyeji wa mwanza watujuze kulikoni hadi usiku??????
mimi sijawaona..
Mi nimelala kwenye kitanda cha mgombea wa CCM Bi.Ashuru huku Mwanza,ameniomba kura usiku kucha