Mmmh kwani anafanya ziara usiku?Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote.
Tuwekee pichaJiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.
Hahaha sawa mkuuMkuu,hebu muache apumzike sasa.Maana alikuwa analala na mafaili kitandani akibukua nchi ainyooshaje!ππππ
Apumzike tuKayafa!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]mzee wa regasi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama siku za ziara ya muheshimiwa tu?Vipi kama ni kwajili ya usalama mkuu nasio kuhadaa mtu?
Andaeni mabango msanue kero wengine wapate mashavuJiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote. Kiuhalisia jiji huwa ni chafu na lisilo na mikakati ya kutunza taswira na hadhi ya jiji, mama akitaka kujua anafanyiwa sanaa ashtukize ziara za kushtukiza maeneo ambayo hakupangiwa ajionee mwenyewe. Ni vibaya kumhadaa kiongozi wa nchi.
Baada ya raisi kuondoka wamezitoa bulb zao uchwara haki ya nani mamlaka zinazohusika ziache maigizo yao ya kipuuziAndaeni mabango msanue kero wengine wapate mashavu
Kuna haja ya kuwawajibisha watu kwa kumhadaa RaisBaada ya raisi kuondoka wamezitoa bulb zao uchwara haki ya nani mamlaka zinazohusika ziache maigizo yao ya kipuuzi
Hakika aiseeKuna haja ya kuwawajibisha watu kwa kumhadaa Rais