Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

Nyoko umeshukia Buhongwa halafu unahitimisha eti maduka ya vifaa hivyo hakuna? Tuliza akili Jumanne uzunguke mitaa yote, vifaa hivyo vipo!
Hata Buhongwa hajafika, huyo kashukia Misungwi afu anatusumbua hapa
 
oya acha kufananisha kitongoji hicho cha arusha na jiji utachekwa labda umefikia magu ndo unasema mwanza mwanza miaka mitano ijayoitakuwa kama dar
Hizo ni ndoto, wala siko Magu, Niko hapa NERA ST
 
[HASHTAG]#ras[/HASHTAG] Ngoja Yagombane Ushindani Huleta Maendeleo Lakini Mwanza Haishindi Tanga Kimandhari,viwanda,mijengo Na Utalii Nk Povu Sitaki
 
Hivi umetoka Arusha kweli kupita hapo kwa Benson na uhuru road yote kununua camera mpaka uende mwanza?
 
Arusha mbona imekamilika mkuu , wanao fananisha mwanza na arusha hawajielewi
 
Video camera!!!!!???? Kwa nini usishirikishe madaktari labda watakusaidia matibabu ya kaugonjwa kako ka kibashite? Maana umefikia hatua unavaa sun gogoz kisha unakojoa mchana kweupeeee ukifikilia saa sita usiku!!!
 
Hivi umetoka Arusha kweli kupita hapo kwa Benson na uhuru road yote kununua camera mpaka uende mwanza?
Benson,anachakachua vifaa vyake, km huamini basi, lakini pia bei yake niya kwake mwenyewe.
 
Umetoka Arusha kufuata hivyo vitu Mwanza!
 
oya acha kufananisha kitongoji hicho cha arusha na jiji utachekwa labda umefikia magu ndo unasema mwanza mwanza miaka mitano ijayoitakuwa kama dar
Dar sijui itakuwa wapi!! Dar inakua kwa kasi ya ajabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…