Mwanza Community Bank

Mwanza Community Bank

KIFALU

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Wapendwa JF kwa yeyote ambae ameweza kupata gazeti la mwanachi au daily news la leo atusaidie kama hawa jamaa wametoa majina mana walisema leo plz msaada tafadhalin wapendwa
 
labda watatuma kwenye email maana kuna watu wanadai jamaa ni matapeli
 
Wapendwa JF kwa yeyote ambae ameweza kupata gazeti la mwanachi au daily news la leo atusaidie kama hawa jamaa wametoa majina mana walisema leo plz msaada tafadhalin wapendwa

Kaka bado unamatumaini na hao watapeli?mi nishakata tamaa kitambo,nilipo waona wanatuma sms za kuomba mlungula nikajua hakuna ajira hapa
 
Kama kuna yeyete anae ngojea kazi toka Mwanza community bank asahau kabisa maana, mie nilifika hadi office za mwanza community bank na wakanithibitishia kuwa wao hawajatoa tangazo lolote la kazi.
 
Kama kuna yeyete anae ngojea kazi toka Mwanza community bank asahau kabisa maana, mie nilifika hadi office za mwanza community bank na wakanithibitishia kuwa wao hawajatoa tangazo lolote la kazi.

Hawa watu wa MCB inaonekana bado wako nyuma sana, ata website 2 hawana! Wangesha yakanusha hayo madai ya ajira wazi na hamna mtu angekua ana wafatilia hao matapeli!
 
Hawa watu wa MCB inaonekana bado wako nyuma sana, ata website 2 hawana! Wangesha yakanusha hayo madai ya ajira wazi na hamna mtu angekua ana wafatilia hao matapeli!

HAWA JAMAA TAYARI WAMESHA ANZA KUTUMA EMAIL,kuna mwenzangu ameshatumiwa leo asubuhi,kwa hyo musikate tamaa wadau!
 
Jamani kwa yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kupata kazi Mwanza Community Bank naomba atujulishe tupate uhakika wamesha anza kuwatumia watu e-mail:shocked:
 
walisema wataandika majina kwenye gazeti la mwananchi au daily news la kuanzia tarehe 20 hadi rarehe 1 may, atakae weza ona majina hayo kwenye hayo magazeti atujuze
 
Back
Top Bottom