Mwanza City: The Photo Gallery

Taa kwenye round wanazingua aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mji wangetumia advantage ya ziwa na mawemawe kuupamba hakika ungependeza sana... Cheki picha ya mwisho hiyo, nice view.
Sijui hata hawajifunzi miji ya Watu nje Huko...Kuna Lile eneo pale Ukitoka Ilipo GSM unapita Police Marine Kama unaenda Mwaloni lile eneo wangeweka Kama Garden hv wakaweka hata viti tukapata soft drinks na bites ingependeza Sana sio Kama Sasa watu wanalima tu mchicha mule majani yanaota hovyo hovyo tu

Typed Using KIDOLE
 
Majuzi nilipita ile barabara kuu nilikuwa naelekea rock city....Nikaona pale maeneo ya clinic wanasawazisha lile eneo lililopakana na ziwa kwa trekta.. Sijui nini kinaendelea, ngoja nione wanafanya kitu gani.
 
Kuna forum moja inaitwa city skyscraper wana app android na OS. Kikubwa wanaongelea project za ujenzi mnaweza pata kitu huko. Hilo eneo lilikuwa proposed kwa ajili ya Mwanza International Conference Center (MICC) mnaweza pitia hii link kwa taarifa zaidi MWANZA|INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE|PROPOSED sio mbaya mkifungua na akaunti huko mkawa mnapost na kutupia taarifa mbali mbali za miradi ya ujenzi Mwanza
 
Aisee na mie ni mdau wa huko mkuu..,umenikumbusha sijapitapo siku nyingi ngoja nikatupie jicho.
 
Kuna mradi unaitwa Tampere garden, Nia ni kujenga sehemu za chakula, kuchezea watoto, kupumzikia nk.



Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports), Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere
Hii iko mwanzacc.go.tz

Mkuu huko skyscrapercity sisi ndio wakongwe natumia jina la rockcity, siku hizi hatuna taarifa nyingi ndio maana tuko kimya, tuna mpaka group la WhatsApp.
 
Lol ndo penyewe kabisa mkuu,clinic opposite na benki kuu.. Kama ni huu mradi itakuwa poa sana
 
Haha kumbe wewe ndo rock city kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…