Unapokihifadhi kinyesi sehemu salama aka chooni huitwa kujisaidia ila unakihifadhi kinyesi sehemu ambayo sio salama kama kwenye pagale, kichaka, ziwani, baharini ama kwenye swimming pool ama pembeni ya choo bila kulenga shimo hiyo inaitwa KUNYA kama alivyosema
Otorong'ong'o maana huyo mtu hana tofauti na mnyama