abu dhabi huwa inapigwa promo kili kukicha.....na watu mashuhuri huenda kuutembeleaa kwahiyo kwa kigezo chako aunatuaminisha kuwa abu dhabi sio mji mzuri??
mimi nipo arusha kwa miaka mingi sana ni kweli naona mwanza inabadirika chap chap kuliko arusha maana arusha ipo vile vile tu kwa muda mrefu sn changes ni ndogo mno kama barabara ya ngaramtoni to usa na hamna kingine cha maana huo ndo uhalisia kabisa uliopo