Mkuu thanks so much for the pics. Hata ambaye Mwanza haijui ataijua na kuipenda. Lakini ningeomba uwe unaweka captions ukibandika picha. Otherwise picha inakuwa haina tofauti na mtu kuchukua picha ya Honduras au Colombia na kuweka humu bila maelezo. It is meaningless.
Otherwise good job bro!
SIGNATURE
The hundreds of Africans drowni