Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Ngokongosha a.k.a Jogoo
Pasword Motel ni bango ambalo ukishatoka tu nyegezi stand ka unaelekea mkolani,utaliona hilo bango
Mkono wa kushoto karb na kituo cha mafuta,,,
NGOKONGOSHA