Hivi kwa sasa nikitaka kununu nyumba au apartment Mwanza mjini - siohuko kwenye favellas za kupandiana- nyumba standard inakwenda kiasi gani?
Mwanza mjini napapenda sana na naona Dar pamejaa sehemuninayowezakuwa napumzikainaweza kuwa Mwanza.
Wadau wenye data hapo vipi?