proposed construction of st john cathedral church. litakuwa na uwezo wa kuchukua waumini 7000. linategemea kuanza kutumika mwezi wa nane mwaka huu. construction site
Huwa najiuliza kuwa nyumba za huko juu mlimani, hao watu wana hati??kwani wamevamia mlima, ardhi wametoa kibali kweli au ni nguvu ya pesa tu inayokuwa juu ya sheria, au serikali kupuuzia tu??