Mwanza City: The Photo Gallery

😀😀
 
Tope la huko kipindi cha mvua ni hatari
 
Wakuu ivi kuna resort gani nzuri yenye swimming pool achana na hii ya Rock beach imejaa uchafu na fujo
 
Mwanza nilikua naichukulia poa. Kwasababu nimezaliwa na kukulia Dar. Mwaka jana nilifika aisee ni mji mzuri sana.

Mandhari safi, hali ya hewa imetulia hakuna joto la kuunguza, yani jua linaweza waka na usitoke jasho kama huku Dar.

Nilitamani kuwekeza kule. Tatizo ni mbali. Likizo ya mwaka huu ntaenda tena kula bata hata wiki moja tu inshallah
 
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…