Wakuu Binafsi nakerwa sana na Nyumba za kuishi za Tanroad zilizojengwa hapo usagara Center, pembezoni ya barabara , lile eneo bora wangejenga frem za Maduka na Mji wa Usagara ungeshachangamka haswa, Kama wahusika tunawajua tunaomba wafikishiwe hizi taarifa , wabomoe zile nyumba na Kuweka frem za Maduka