Wakenya wanaikubli sana Mwanza lakini kwanini serikali inajifanya kama imetusahau? Miundombinu Mwanza imekuwa kama hanasa, barabara kupanuliwa ili jiji lionekane na hadhi kweli ya jiji nayo imekuwa kama hadithi za abunuwas, ujenzi wa chuo kikuu cha umma Mwanza hakuna ata kimoja achilia mbali kanda yote ya ziwa haina chuo kikuu cha serikali....
Hivi serikali huwa mna agenda gani na Mwanza?
Miradi ya tactic ni kama mazingaombwe kila siku inapelekwa mbele kama hamna pesa ni bora mkatuambia.
Tuomba barabara ya kenyetta ipanuliwe njia nne tumechoka porojo zenu, barabara ya airport adi igombe mpaka nyanguge nayo imekuwa kwenye feasibility study kwa miaka zaidi ya saba.
Angalieni hapa na mchukue hatua jiji la pili kwa ukubwa mnalishushia hadhi yake ni bora tukawa Mwanza mji na hadhi ya jiji wakapewa wanaostahili
View attachment 2511727