Napenda kutoa shukrani zangu kwa kampuni ya armstrong international LTD pamoja na mellow architects kwa kuaminika sana na kuzidi kupewa miradi mbalimbali ndani ya jiji la Mwanza, nadhani nyinyi ni moja ya kampuni bora za ujenzi hapa Mwanza na Tanzania kwa ujumla.... Nimefikia hatua kuwapongeza ni kwasababu ya kuaminika kwao kila ujenzi mkubwa wa maghorofa lazima kuna mkono wa arm strong pamoja na mellow architects, kuanzia mwaka jana adi sasa nimeona wanafanya ujenzi wa majengo zaidi ya kumi ya ghorofa kuanzia nane na kuendelea, nawapa shukrani kwa kuaminika.