Hyo ilikuwa awamu ya Kwanza , walitanua Eneo mpak barabara ya kitumba kule juu, watu wote walilipwa , na waliokuwa wamejenga walilipwa wakastisha ujenzi , maeneo yote yamesawazishwa...!!
Hyo ilikuwa awamu ya Kwanza , walitanua Eneo mpak barabara ya kitumba kule juu, watu wote walilipwa , na waliokuwa wamejenga walilipwa wakastisha ujenzi , maeneo yote yamesawazishwa...!!
Oh .wamefanya jambo jema sana ....maana hata mim nilishangaa kwann wamechukua eneo dogo hivyo ,kama walivyoharibu kampasi ya dodoma ..ikakosa Hadi eneo la viwanja vya michezo ...profesa mayaya ni bright leader sana kaleta mapinduzi makubwa chuo Cha mipango,,,...
Hawa jamaa wangeacha ujinga wa kufungua Campus kila mkoa wakawekeza Main Campus yao tu wangekuwa bonge la University kwa upande wa Private hapa Bongo japo hata sasahv hawapo vibaya