Napingana na wewe Mkuu. Uimara wa barabara unatokana na kiwango ambacho mkandarasi atafikia. Kama atalipua, basi hata miezi mitatu ni shida. Mfano mzuri ni Isamilo majengo mapya, ilijengwa barabara ya namna hiyo, baada ya mwezi mmoja na nusu yalibaki mawe tupu na kero ilikua x10 ya mwanzo
Sent using
Jamii Forums mobile app