Mwanza City: The Photo Gallery

Kwa makazi bora kabisa ya kisasa na mengi sio ghorofa mbili zilizopangana buswelu naipa namba moja nyumba kali zilizo buswelu ukizihamishia mbeya,Idodomya na arusha panajaa aisee
Mimi buswelu ni zaid ya cbd ya mbeya lakini kuifananisha na developed classic, fantastic, awesome and amazing marvelous place kama capripoint na bwiru ni hatari sana.
 
Wrong brother..hili ni chimbo Moja safi .. .unaingia Pale buzuruga mataa Kuna road ya TARURA unashuka nayo kama unaelekea tandabui then unanyoosha nayo kama unaelekea alliance..mitaa ya mbele hapo utaona mambo hayo
Nice, Mwanza inakua kwa kasi...
 
Mimi buswelu ni zaid ya cbd ya mbeya lakini kuifananisha na develope classic, fantastic, awesome and amazind marvelous place kama capripoint na bwiru ni hatari sana.
make kwanza ncheke
 
Bado point yako ni dhaifu kijana halafu unaongea kama ukifika tu mwanachi unaona hayo ma mansions?
mwanachi eneo kubwa ni uswqzi...... nyamhongolo hakuna uswazi
 
Ata mimi nilikuwa nasema hapa tukibishania quantity basi hakuna wakushindana na buhongwa wala igoma, lakini kwa quality yaan mansions, palaces, castles, bangalows hapa Capripoint, bwiru, isamilo na nyasaka huwez kuziondoa.
Huku juu nimesema kunamaeneo mnayapasifa za bure tu mfano nyasaka mimi naishi nyasaka niwapi nitayapata hayo mabangalows kwa hapa nyasaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ