Mi najiuliza hivi kuna member kweli anaishi mwanza maana hakuna update yeyote ya maana hapa weekend hii! Ngoja mi nakujua mwisho wa mwaka Mwanza nije nifanye hii kazi!😂😂
Mi najiuliza hivi kuna member kweli anaishi mwanza maana hakuna update yeyote ya maana hapa weekend hii! Ngoja mi nakujua mwisho wa mwaka Mwanza nije nifanye hii kazi!
tunategemea post za insta, YouTube na facebook.ndio tupate update.... kingine nawashauri wakazi wa mwanza ,sio lazima upige picha jengo au mradi mzima ...hata ukipiga kile kibao Cha maelezo ya kandarasi inatosha