Mwanza City: The Photo Gallery

View attachment 2424551

View attachment 2424552View attachment 2424553

Hii project pembeni ya hii hotel inayojengwa sjui ni ya nan , naona imeanza na frem Kwa chini
Hii picha mkuu umempiga na shemeji ako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nashukuru alikuwa mwenyewe aki ya mungu kama ungempiga akiwa na jamaa sijui tu na hii picha nitaichukua nimwoneshe๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Nilichukua namba yake ๐Ÿ˜
 
Ila huyo shemeji yako namuamni mkuu, sema ndio hivyo wanawake hawaaminiki.
Fanya umuoe umzalishe mara mbili chap chap ndo atatulia , la sivyo utapigwa na kitu kizito Sana kichwani .... Kuna wahuni pembeni pale wanauza vifaa vya umeme na mziki walimuita wakabonga mawili matatu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nikaona anatabasamu tuu
 
Jembe ana mtoto mmoja huyo nimeshamzalisha ila........
 
Costa zibaki mjini..hice ziende pembezoni mwamji.
Naunga mkono hoja.
#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ