Stand ya Kisesa ?Zipelekwe stendi ya kisesa
Waweke stendi ndogo pembeni kam nyamagana wanavyotaka kufanya pale nyabulogoya, kiukweli hiyo stendi ni ndogo asee.Kumbuka Kuna mpango pia wa kukenga Njia nne, Mjini mpaka Nyanguge??!!!
Umetumia facts na logic kuwasilisha Hoja yakoUwezo wake ni kweli 120 buses, angalia hizi partition za basi kupaki. Partition moja inaView attachment 2422258 mistari miwili na kila mstari una uwezo wa kupanga basi 5, kwa hiyo partition moja ina uwezo wa kubeba basi 10. Na hizo partion zipo zaidi ya 10.
Angalieni vizuri mtagundua hilo
Of course, ni wazo zuri hasa kama wakijenga stand ya daladala ikawa pamoja na hizo coaster. Ila isiwe pale nje ya stand wanaposhushia daladala wanapotaka kuweka pelvingsWaweke stendi ndogo pembeni kam nyamagana wanavyotaka kufanya pale nyabulogoya, kiukweli hiyo stendi ni ndogo asee.
Hapo ni jambo dogo tu ata bilion moja inaweza kutosha kwa kuweka pavings.Of course, ni wazo zuri hasa kama wakijenga stand ya daladala ikawa pamoja na hizo coaster. Ila isiwe pale nje ya stand wanaposhushia daladala wanapotaka kuweka pelvings
Ndugu nimetoa mawazo yangu kwa sababu ya hoja kwamba stendi imejaa.Hii stendi ni kubwa mno kwa vyovyote vile haiwezi kujazwa na mabasi labda kama daladala zinaingia mpaka ndani ya stendi. Kusema Buzuruga na Nyamhongolo zinafanana ukubwa sio kweli, nyamhongolo ni kubwa karibia mara 2 ya Buzuruga. Kama Buruga ilikuwa haijazi mabasi iweje nyamhongolo ijae?
Hizi taarifa za nyamhongolo kujaa zimetoka wapi au kuna mtu mmoja kaamua kuzusha?
Halafu kusema basi likae zaidi ya nusu saa lipigwe faini sio sawa. Hii stendi sio kwamba mabasi yanapita yanakuja kuishia hapo na kuanzia safari hapo.
Kwa mfano gari litoke msoma lishushe ndani ya nusu saa linapata wapi abiria wa kujaza halafu ukumbuke halipo moja tu kuna mabasi mengi ya ruti hiyo
Hata pakikaa tupu kuna shida ganiNaunga mkono baadhi ya hoja .ila Kwa uzoefu wangu pia maeneo ambayo umeyarefer ni Peri urban Yani nje kidogo ya mji ...ndio utapata hizo disturbance . eneo pekee ambalo Lina majaruba na liko mjini ni kati nyegezi kuja mkuyuni pembeni mwa reli pale ..na Yale ni maeneo ya viwanda..na hifadhi za reli ...eneo lingine maybe nyamhongolo ambapo ni eneo la viwanda na uwekezaji maaalumu
Hii sio changamoto, mimi naona ndio vizuri ili magari mabovu yaondoke menyewe.Changamoto kubwa kwa Mwanza niliyoiona suala la usafiri siyo stressful Kama Dar.
Mwanza bado abiria wanaringa kupanda daladala. Ukiwa na hiace lako limechoka utapiga yowe masaa 6 abiria hawapandi.
Abiria wanataka daladala jipya au lenye TV wanasubiria Hilo Hilo.
Hivyo, wengi wanahisi wakiweka coaster kubwa hasa milango 2 Kama za Dar hawapata idadi ya abiria kujazana gari.
Hata kwasasa coaster nyingi kubwa ni zile zinazoenda sehemu Kama Buswelu au Buhongwa ambako Kuna abiria wengi.
Kwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .Hii sio changamoto, mimi naona ndio vizuri ili magari mabovu yaondoke menyewe.
Hili sio jambo jipya kwa tuliokuwa zamani kidogo mtakumbuka njia ya pasiansi ilivyokuwa na express nzuri zaidi na zilikuwa na mpaka burudani ya video ndani, yaani watu walikuwa wanachungulia ndani ndio wapande.
Samahani kutumia neno express, ni neno lilokuwa linatumika mza, dar walitumia daladala, Arusha ni vifodi
Picha nzuri sana, hilo jengo lenye maandishi ya dar ceramic huwa ni mali ya Nyanza. Niliona sehemu wanatafuta pesa ili wajenge jengo kubwa la kitega uchumi, yaani naomba Mungu wapate hizo pesa, maana picha ya juu ya hilo eneo itabadilika sana ukiweka na stesheni mpya ya treni(sgr).
Namuona akiongeza zingineHii rapid boti .. itaenda Hadi Kampala masaa 7 Toka mwanza .bukoba masaa 3View attachment 2422405View attachment 2422407
Kipindi nakaa dodoma walikuwa na gari mbovu, kumbe bado zipo mpaka leo๐Kwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .
.hasa ruti ya st gema ,na mnada Mpya ,,,...
Dodoma ni mji wenye daladala mbovu nyingi ...uzuri wa kule makonda wake ni wastaarabu Hadi mia mbili unapanda ..makonda wa mwanza ni wahuni sana na wakorofiKipindi nakaa dodoma walikuwa na gari mbovu, kumbe bado zipo mpaka leo
Humu nilishagundua kuna watu huwa wazuri kwa imagination kuliko uhalisia.Uwezo wake ni kweli 120 buses, angalia hizi partition za basi kupaki. Partition moja inaView attachment 2422258 mistari miwili na kila mstari una uwezo wa kupanga basi 5, kwa hiyo partition moja ina uwezo wa kubeba basi 10. Na hizo partion zipo zaidi ya 10.
Angalieni vizuri mtagundua hilo
Hiyo kuchukua 200 ni ustaarabu au wateja ni shida?Dodoma ni mji wenye daladala mbovu nyingi ...uzuri wa kule makonda wake ni wastaarabu Hadi mia mbili unapanda ..makonda wa mwanza ni wahuni sana na wakorofi
Vyote pia vinachangia ...Kwa sababu ruti nyingi zinategemea wanafunzi wa vyuo . Wanafunzi wanapofunga vyuo Hali ya abiria inakuwaga ndogo mjiniHiyo kuchukua 200 ni ustaarabu au wateja ni shida?
Nimeishi kule wakati chuo hakipo, hakukuwa na biashara kabisaVyote pia vinachangia ...Kwa sababu ruti nyingi zinategemea wanafunzi wa vyuo . Wanafunzi wanapofunga vyuo Hali ya abiria inakuwaga ndogo mjini
Majengo yote ya Nyanza yamepigwa nembo ya NHC, sijui kwanini?Picha nzuri sana, hilo jengo lenye maandishi ya dar ceramic huwa ni mali ya Nyanza. Niliona sehemu wanatafuta pesa ili wajenge jengo kubwa la kitega uchumi, yaani naomba Mungu wapate hizo pesa, maana picha ya juu ya hilo eneo itabadilika sana ukiweka na stesheni mpya ya treni(sgr).
Niliiipiga kwa haraka haraka nilikua jengo la NSSFPicha nzuri sana, hilo jengo lenye maandishi ya dar ceramic huwa ni mali ya Nyanza. Niliona sehemu wanatafuta pesa ili wajenge jengo kubwa la kitega uchumi, yaani naomba Mungu wapate hizo pesa, maana picha ya juu ya hilo eneo itabadilika sana ukiweka na stesheni mpya ya treni(sgr).