Huyo mzee kafana akili na mama sio mfatiliaji kabisa, anaweza kuongea baada ya dakika moja akasahau aliongea nini? Hiyo inshu kama angekuwa serious lingeshaanza kutekelezwa.
Hiyo picha ya juu ni michoro ya chuo cha DIT campus ya mwanza kinachojengwa, kama nimekosea naomba unambie.
Pia nashauri unapopost weka na details kidogo ili kila mtu hajue ulichopost ni nini🙏🙏🙏
Wamiliki wa mabasi wanalalamika udogo wa stendi ya nyamhongolo, imefikia hatua mabasi yakosa sehemu ya kupark, lakini hii stendi tulidanganywa inauwezo wa kupaki mabasi 120 kumbe unawezo wa mabasi 80 tu.