Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Hivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .
Acha ligi za kijinga wewe
Hakuna sehemu mleta mada aliposema analinganisha Mwanza na mji mwingine.
Bangi iwasaidie kubeba mizigo mizito mpate ela ya ugali