Sidhani, lakini kama hawafanyi hivyo kwanini waliinvest Hela kutoa hii plan. Itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha kama hawaifuati. Suala la milima kuvamiwa yaani linakera , na kila tukipata wawekezaji ili basi plan milima ibadilishwe walau ifanane na master plan yetu siasa inakuwa nyingi. Ni baya sana wanasiasa kuwekeza kwenye maarifa ya watu kama mitaji ya kura.