prisma hotel kipande cha nyegezi. kwa anayelijua hili chimbo atakubaliana na mimi kuwa wahudumu wa hapa ni wakali sana na wana nidhamu sana. mida ya jioni huwa panafunguka ile ile.
Kiukweli nilipapenda sana Mwanza... Nikapata uwezo ninaweza kuweka makao mengine huko...
Hiyo Luchelele iko sehemu gani, maana ndio kwanza naliskia hilo jina?...