Nimeshakaa arusha na mwanza, kiukweli arusha itasubiri sana kwa mwanza.ki arusha chenyewe mji mdogo na barabara hio kubwa moja tu ya kwenda new arusha na kijenge huko zaidi ya hapo hamna kitu..mvua inyeshe sasa kama ni mtu wa mianzini huko ndani ndani tope lake walijua..mwanza iko juu sana.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app