Moja kati ya barabara ambayo haifanyiwi progressing ni barabara ya Kenyatta . yaani miaka nenda rudi .. pale mkuyuni panahitaji either taa au daraja la kuvukia..yaani jioni na asubuhi huvuki kizembe hadi urudi Butimba kona ndo uvuke. . eneo lingine ni pale Nyegezi kona , yaani pale napo ni vurugu aisee
Hizi barabara zikikamilika zitaongeza fursa za biashara za usafirishaji abiria. (New routes)Hamna mtu anayepiga miradi ya mwanza vita ..ila wabunge wetu ,na halmashauri wamelala ... kidogo mabula sa hv namwona anajitahidi maana amekuja na mpango wa kujenga atleast km 1 ya lami kwa mwaka kwa kila barabara ya tarura wilaya ya Nyamagana
Barabara ya buzuruga to Mahina kati tayari wamejenga hadi mwananchi .
Barabara ya Nyakato boma to machinjioni tayari wamejenga hadi Bismark
Barabara ya Nyegezi stendi hadi majengo mapya tayari wamejenga hadi majengo
Barabara ya Mkolani to buguku
.
Nk
Hiyo barabara itakamilika siku wakianza kujengaa four way had usagara la sivyo hapataweza kuwa na maendeleo yoyoteMoja kati ya barabara ambayo haifanyiwi progressing ni barabara ya Kenyatta . yaani miaka nenda rudi .. pale mkuyuni panahitaji either taa au daraja la kuvukia..yaani jioni na asubuhi huvuki kizembe hadi urudi Butimba kona ndo uvuke. . eneo lingine ni pale Nyegezi kona , yaani pale napo ni vurugu aisee
Siku nyingi sijaja mjini, sijajua kinachoendelea.Ujenzi wa hotel ya nssf pale capri point vip kuna fununu yoyote utaendelea?, it has been along time toka ukwame
Ujenzi ulisimama toka 2015 adi leo kimya hilo jengo ni kama pambo tu, lakini kama wangelikamilisha lingeinua pia uchumi, lingetengeneza fursa za ajira na biashara, pia lingeongeza mandhari ya jiji, wahusika sijui walifeli wapi mabilioni ya pesa yalitupwa pale na jengo limebaki kama magofu na litakuwa moja kati ya magofu ya jiji la Mwanza.Ujenzi wa hotel ya nssf pale capri point vip kuna fununu yoyote utaendelea?, it has been along time toka ukwame
Stanislaus Mabulla anatakiwa apenyeze maswali kwa wizara husika kuhus huo mradi. Ni hasara kweli.Kikwete na mapungufu yake makubwa lakini ndiye aliyewekeza sana kwenye real estate, majengo makubwa karibu yote ya jijini Mwanza yamejengwa kwenye kipindi chake, Ilo jengo lilijengwa kwa haraka sana na lilikuwa likamilike mwaka 2015 lakini ndio lilistopishwa sijui kulikuwa na ufisadi sijui ubadhirifu wa pesa, adi leo kuna sintofahamu juu ya jengo ilo kubwa jiji Mwanza.
Adi hapo lilipofikia limekula bilioni 112 adi kukamilika lilipigiwa hesabu ya bilioni 145Stanislaus Mabulla anatakiwa apenyeze maswali kwa wizara husika kuhus huo mradi. Ni hasara kweli.
Sidhani kama wataigusa hii barabara kwa sasa.Moja kati ya barabara ambayo haifanyiwi progressing ni barabara ya Kenyatta . yaani miaka nenda rudi .. pale mkuyuni panahitaji either taa au daraja la kuvukia..yaani jioni na asubuhi huvuki kizembe hadi urudi Butimba kona ndo uvuke. . eneo lingine ni pale Nyegezi kona , yaani pale napo ni vurugu aisee
Nilimsikia waziri mpango ni njia nne mpaka SHY, km 104Sidhani kama wataigusa hii barabara kwa sasa.
Upembuzi sanifu wakuifanya njia nne umeisha mwezi uliopita, kwa sasa serikali inatafuta pesa yawezekana ikaanza kujengwa bajeti ya mwaka kesho, hope wataweka taa na madaraja ya watembea kwa miguu sehemu husika.
Kaka punguza mzuka.Ujenzi ulisimama toka 2015 adi leo kimya hilo jengo ni kama pambo tu, lakini kama wangelikamilisha lingeinua pia uchumi, lingetengeneza fursa za ajira na biashara, pia lingeongeza mandhari ya jiji, wahusika sijui walifeli wapi mabilioni ya pesa yalitupwa pale na jengo limebaki kama magofu na litakuwa moja kati ya magofu ya jiji la Mwanza.
Sawa mkuu ngoja tusubiri.Kaka punguza mzuka.
Hilo jengo sio gofu na halitawahi kuwa gofu.
Mpaka sasa lime ongeza mandhari ya mji wa mwanza sijui wewe ulitaka mandhari gani zaidi.
Kuna mtu alinidokeza kwamba hawawezi kumalizia zaidi mpaka apatikane mwekezaji wa hoteli ili limaliziwe kulingana na anavyotaka, na kuna brand kadhaa za hoteli kubwa kubwa zimeonyesha interest.
Tuendelee kusubiri hata mzizima dar si ndio inamaliziwa sasa hivi
Hili barabara (Buswelu - Busenga) bado, inapita kutoka round about ya Kwanza Buswelu/Kiseke inatokea kati ya Cocacola na filling station ya Olasiti Igoma.View attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.
2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5
3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika? ๐คฃ
Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.
2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili
3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.
Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi
Miradi hii inaanza lini kutekelezwa isije kuwa ni porojo tu za kwenye makaratasi.View attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.
2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5
3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika? ๐คฃ
Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.
2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili
3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.
Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi
Hili soko la samaki mkuyuni ndo litajengwa pake mswahili ambapo asubuhi watu wanaendaga kufanya manunuzi ama?View attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.
2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5
3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika? ๐คฃ
Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.
2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili
3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.
Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi
Barabara ya national to mkuyuni ipo ,. kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi nahisi itapelekwa taruraView attachment 2271402
Nimeangalia miradi ya TACTIC mwanza, ilemela ipo 3.
1. Soko la kirumba na barabara za jumla ya 2.3km kuzunguka soko.
2. Barabara ya Buswelu-nyamadoke-Nyamhongolo km 9.5
3.Barabara ya Buswelu-Busenga-cocacola
Hivi hii barabara si ilishajengwa na inatumika?
Miradi ya Nyamagana au Mwanza cc.
1. Barabara ya buhongwa-kishiri-igoma 14km naona itakuwa njia mbili naona sio fair ukizingatia hii barabara ni sehemu ya ring road ya mwanza.
2. Mradi wa mto mirongo
Nafikiri huu mto unaenda kujengewa kingo, sijui zaidi kuhusu hili
3. Mradi wa soko la samaki la mkuyuni.
Barabara ya national to mkuyuni naona haipo, labda tarura au tanroads waokoe jahazi
Ni hapo hapo mswahili, kwa mujibu wa TACTICHili soko la samaki mkuyuni ndo litajengwa pake mswahili ambapo asubuhi watu wanaendaga kufanya manunuzi ama?