Hapana ni eneo la halmashauri, lakini kipindi wanajenga stendi walitoa ofa kwa watu wajenge vibanda vyao kwa muda fulani, huo muda ukiisha hivyo vibanda vitakuwa ni mali ya manispaa, kwahiyo hilo eneo lote la buzuruga stendi ni mali ya manispaa ya Ilemela.