Rufiji ndo panakimbiza sa hv ikifuatiwa na rwagasore , rwagasore imechememea baada ya soko kufungwa ....!! Hvi huna Raman ya hotel ya Yule mwekezaji anayetaka kujenga hotel ziwani

Naona mmejitahidi kutangaza Hotel za wanaume wenzenu bila gharama yoyote. Hayo mahotel yote hayamsaidii mtanzania wa mwanza anayewaza ada za watoto. Chakula. Kodi ya nyumba. Nk