Wakazi wa Mwanza wameshuhudia kituko baada ya mkazi wa jiji hilo, Jumanne Nasibu kumuingilia kimwili mbuzi jike. Tukio hilo lilitokea baada ya mmiliki wa mbuzi hao kuwafunga malishoni wakiwa sita na baadae kuwakuta wakiwa watano na kuanza kumsaka mmoja kwa hofu ya kuibiwa ndio alipokumbana na mkasa huo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, amewataka wananchi kuripoti ili sheria zichukuliwe dhidi yao.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, amewataka wananchi kuripoti ili sheria zichukuliwe dhidi yao.