The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
Wadau lengo la huu uzi
1. Kujua miradi ya miundombinu ya hii miji mikubwa baada ya dar es salaam
2. Kujua ukuaji wa sekta viwanda,kilimo na uvuvi
3. Kupata picha ya muonekano wa hii miji kwa mwaka 2018-19
4. Life style,fashion na celebrities wanaotokea hii miji
5. Pamoja na hotels,sehemu za starehe na kurelax
Nb:- lengo sio kushindanisha ni kujua ukuaji wa hii miji na kuongeza hamasa ya watu kutembelea hii miji
This my second time to start a thread here please lets share

Sent using Jamii Forums mobile app