Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Wadau Umuofia Kwenu.
Leo nikiwa mwanza airport nasubiria usafiri wa kuelekea dar, kukawa na mechi kati ya Man utd na Chelsea. Jioni hii huwezi kuona huo mpira sababu cable haioneshi. Pia kuna Yanga na Majimaji na yenyewe huwezi kuona sababu hawana king'amuzi kinachoonesha mpira huo. Tunaoondoka saa moja na nusu usiku tuko Airport tangu saa 11: 30 jioni. Hivi kweli Airport ya Mwanza inashindwa nini kuwa kama ya dar. Hii ni aibu. Tumeboreka sana humu ndani. Kama mzalendo hii ni aibu.