Mwanyamaki aitisha CCM Kyela


Ha ha ha
Nimeipenda hiyo.
Tusilaumiane.
Wamechezea shilingi chooni wenyewe
 
Huku hawamtambui mwamunyange ila ni wabishi tu,kuna kipindi walimchaguaga ntika diwani wa tlp ila alivomaliza kipindi chake akahamia ccm watu walivunjika sana moyo ko wanaiman sana na ccm
 

mkuu kyela mbona ipo vzr? Sema wakaz wenyew huko ni wavivu sana, kyela ni sehem ya neema kwanza ni bonde halafu ina mito mimngi lakn ajabu watu mazao yanakauka eti kisa jua, mnataka wabunge ndio waje wawamwagilie?
 
kwanini unadhani mwakalinga anaweza kushinda , kwa lipi alilowahi kulifanya ( lete mifano ) , nakuhakikishia kwamba ccm haitakiwi kyela hata akija kinana kugombea .

Kwani huyo Mwanyamaki wako ndio kafanya niini,...?
Bora hata Mwakalinga kawachangamsha na Kyela fm....
 
mkuu kyela mbona ipo vzr? Sema wakaz wenyew huko ni wavivu sana, kyela ni sehem ya neema kwanza ni bonde halafu ina mito mimngi lakn ajabu watu mazao yanakauka eti kisa jua, mnataka wabunge ndio waje wawamwagilie?

Weewe sijui hata kama unajielewa,.?!!,...
Tanzania ina kila aina ya neema i,e mito,milima,rutuma,mistu,madini etc,etc lakn bado watanzania ni maskini-hope haujajua tatizo ni nini kama huyo mkwere alivyosema hajui kwanini watanzania ni maskini,
Kiufupi ni kwamba mifumo mibaya huzaa matokeo mabaya,...get it,..!
 
Jidanganyeni n uzii zenu humu piganeni filimbi na chezeni wenyewe aahaaaa ila ukweli mnaujua kuwa hamuwezi kuitoa ccm hapoo tatizo ukiwa mwanasiasa n lazima ujue kuongea uongo uharisia upo ila mnatuzungusya na miuzi yenu humu jaamni tisijidanganye kwa kujitekenya wenyewe alafu tunacheka
 
Huku hawamtambui mwamunyange ila ni wabishi tu,kuna kipindi walimchaguaga ntika diwani wa tlp ila alivomaliza kipindi chake akahamia ccm watu walivunjika sana moyo ko wanaiman sana na ccm

Wanamjua sana na hivi kajenga hotel huko hatari.....!!!
 
Hicho kikosi cha delete CCM kifike hata KISALE na MABUNGA kwani hivi vijiji kama vina hati miliki ya CCM,
Silinde kuna kipindi alienda kutoa elimu ya uraia ila naona mabadiliko ni mwendo wa KOBE.
 

Mkoa wa Mbeya kwa ujumla CCM wana hali ngumu na wao wanalijua hilo.
 
Aisee! Kwahyo kwaakili zenu mnafikir chadema ndio itafanya la maana kuizidi ccm?

Kama chadema itaingia madaraka miaka mitano ya kwanza lengo lao litakuwa kujineemesha wao kwanza, baadae ndio na wao waendelee kunjiimalisha kichama kama kuwa na ofisi zao wenyew badala ya kukodi kama wafanyavyo sasa..

Nyie wewesekeni tu. Mtakuja kuishi maisha magumu mpaka mtaomba ccm irudi
 
Kwani huyo Mwanyamaki wako ndio kafanya niini,...?
Bora hata Mwakalinga kawachangamsha na Kyela fm....
kama kuchangamsha ni kitu muhimu mbona mwakyembe ametoa hadi pombe za bwalwa na bado mnamkimbiza kwenye kura za maoni ? nimeweka wazi changamoto za kyela , barabara chafu zenye vumbi la kutisha ! kumbuka hizi barabara zimezunguka makazi ya watu na soko kuu , hebu jaribu kuingia kwenye maduka yale , hakika utatoa chozi , wafanyabiashara wamekata tamaa , hilo moja lakini njoo kwenye mashule utalia , shule ya msingi mpanda ambayo machekibobu wote wa kyela wamesoma imechakaa hadi aibu .
 

thubutu yake , kwaheri ccm kyela .
 
Akili za Wanyakyusa kumbe za kushikiwa, heheheeeee. Sasa unanijibu kwa Kinyakyusa, mie Sikonge nikujibu kwa Kinyamwezi, tutaelewana kweli? Karibu sana Sikonge uniambie maana yake,...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…