Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,548
- 284,049
barabara mbovu za mji wa kyela ndio kitanzi cha ccm hawana pa kutokea .
kwa neema iliyopo kyela haikutakiwa kuwa na vumbi kiasi hiki , halafu kama kweli barabara za kyela ni nzuri kilichowafanya ccm kuhangaika na udongo mchafu wenye vumbi kali na zito ni nini ? tena kuelekea uchaguzi , kiasi cha wafanyabiashara kushindwa kabisa kufanya biashara zao ? hauko kyela mkuu , hali ni mbaya kuliko maelezo .Unajua barabara mbovu wewe? Nenda manispaa ya Tabora ukajifunze kutofautisha barabara mbovu . Kyela ina hali nzuri kuliko hata makao makuu ya Mikoa mingi tu Tanzania. Kinachokosekana Kyela ni ubunifu wa kutumia mito mingi waliyojaaliwa pamoja nz ziwa kuwe na kilimo cha umwagiliaji.
kwa mipango iliyopangwa kuelekea uchaguzi ccm ikiambulia hata kata moja wafanye sherehe .hamjaweza washawishi watu wa ngonga kule wenyewe hawambiliki kuhusu ccm, wiki iliyopita nilikua huko kila nikijaribu kutoa elimu ya uraia hawaelewi
Mkuu basi jambo Jema nimeshuudia pale kwetu ccm wanajisifu sanakwa mipango iliyopangwa kuelekea uchaguzi ccm ikiambulia hata kata moja wafanye sherehe .
Mkuu basi jambo Jema nimeshuudia pale kwetu ccm wanajisifu sana
Sijui kitu...
Sijui kitu...
nielewe mkuu , mimi siwezi kuhangaika na wagombea wa ccm , chama kilichofika kikomo .Ila bwana red blood cell umenichanganya! Huyo Mwanyamaki ni mgombea wa ccm au cdm? Nifafanulie tafadhali
nakujulisha ili ujiandae kiakili na kimwili , kyela hatakiwi mtu yeyote anayeshabihiana na ccm , inyeshe mvua au liwake jua , tumechoka kabisa na vumbi kali mjini na maji yenye vimelea vya kichocho , tukuti mma ! apa batutwele abha ccm pafwene , ubhulondo twemma tukanile kikolo .Mpigie Kura George Mwakalinga au Mtanzańia wa Jamiiforums ambaye ni mmoja wa waliokuwepo mwanzo JF.
kwanini unadhani mwakalinga anaweza kushinda , kwa lipi alilowahi kulifanya ( lete mifano ) , nakuhakikishia kwamba ccm haitakiwi kyela hata akija kinana kugombea .Hali halisi kisiasa pale Kyela iko hivi:-
Kama CCM watampitisha mh Mwakyembe huenda CCM ikapoteza jimbo
Lakini wakimpitisha jamaa mmoja anaitwa Mwakalinga yule mmiliki wa Kyela FM wanaweza kutetea kiti chao,,,,,
Ni juu ya CCM kuamua hayo matokeo... kwani kwa upande wa upinzani hakuna wa kuweza kusimama na Mwakalinga lakini wanaweza kukosoa utendaji wa Mwakyembe kwa kiasi kikubwa.