Mwanume unayajua haya?

Haki za binadamu zimewapindisha shingo hamjui nafasi yenu kbsa ktk ndoa,badala yake mnataka kuwaongoza wanaume,mkikosea hamuwez kuomba hta msamaha,kujishusha kwenu mnaona kma mnajivua nguo bila kuchutama.
 

wenzako haya wahajui wapo wapo tu.i like u.
 
Hawa viumbe ukiwaachia uhuru ni sawa kumchekea nyani........ unavyosema wamepinda ni kweli kabisa wamepinda ka kona za barabara hivyo akili inahitajika kuwaongoza hawa watu maana ni delicate kama yai.....
 
Ha ha Malaika wa shetani.. Bila shaka watakuwa weusi tu..
^^

hapana mkuu sio weusi bali hata wenzetu wazungu nao pia ni malaika wa shetan. Mfano mzur David Cameroon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…