wamepinda!!!!!!!! wapendweje hali ya kuwa wamepinda????!!!!! umeonyesha umuhimu wa kunyooshwa halafu unaweka masharti eti pole pole!!!!!!!!
ni sheeeeeder.
Inauma eeh?
*mke ametoka katika ubavu wa mme,hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa.
*wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yy ana akili sana bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe.Ubavu wa kushoto uliokaribu na moyo ili
~apendwe
~aheshimiwe na
~athaminiwe,
lkn kwa kua ubavu umepinda,mke nae amepinda.Asinyooshwe kwa nguvu atavunjika bali anyooshwe taratibu nae atanyooka.
Hayo tu katika asubuhi ya leo,muwe na siku njema pia amani ya Mungu iwe nanyi.
somo jema sana lakn kwavile hiki kizaz ni cha malaika wa shetan basi kinaweza kikaona na kisigundue , kinaweza kusikia na kisielewe. Heri ww ujuaye hayo kwamaana ndoa yako itadumu.
Ndoto hizi