M Mafuta us kampuma Member Joined May 1, 2017 Posts 56 Reaction score 43 Jan 21, 2018 #1 Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia kwangu ispokua majini na majinamizi tu"
Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia kwangu ispokua majini na majinamizi tu"
THEGENTLEMAN1996 JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 518 Reaction score 593 Jan 21, 2018 #2 mi uhakika 100% nimekupa
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,574 Reaction score 29,695 Jan 21, 2018 #3 Mkuu bila shaka utakuwa umekosana na mchawi.Sasa ushajaa kwenye 18 zake.Kwa msaada zaidi mshana jr anaweza kukusaidia.
Mkuu bila shaka utakuwa umekosana na mchawi.Sasa ushajaa kwenye 18 zake.Kwa msaada zaidi mshana jr anaweza kukusaidia.
M Mafuta us kampuma Member Joined May 1, 2017 Posts 56 Reaction score 43 Jan 22, 2018 Thread starter #4 Perfectz said: Mkuu bila shaka utakuwa umekosana na mchawi.Sasa ushajaa kwenye 18 zake.Kwa msaada zaidi mshana jr anaweza kukusaidia. Click to expand... Mwite mshana hapa
Perfectz said: Mkuu bila shaka utakuwa umekosana na mchawi.Sasa ushajaa kwenye 18 zake.Kwa msaada zaidi mshana jr anaweza kukusaidia. Click to expand... Mwite mshana hapa