Mwanga(Mchawi) na MWANGA(TAA)

Mwanga(Mchawi) na MWANGA(TAA)

Joined
May 1, 2017
Posts
56
Reaction score
43
Ndugu wana jf kwa wachawi au mchawi yeyote anaesoma uzi huu, naomba anipe uhakika kwa hiki nilichokisikia Leo, ya kwamba " Nikiwasha taa usiku kucha, hakuna mwanga wala mchawi atakaeweza kuingia kwangu ispokua majini na majinamizi tu"
 
Mkuu bila shaka utakuwa umekosana na mchawi.Sasa ushajaa kwenye 18 zake.Kwa msaada zaidi mshana jr anaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom