Je Kampeni za Mwandosya ndo zimeanzia Bungeni? Leo wakati Wizara yake ikijadiliwa, ilionyesha wazi kwamba alikuwa amewapandikiza watu wa kumpigia debe! Hata hivyo Dar- hakuna maji wiki ya tatu sasa!
Maji maji! Mwandosya kafanya nini?
Rais akikuteua uwe waziri wa maji ni sawa na kukuchongea kwa wananchi. Serikali yenyewe priorities zake hata hazijulikani, waziri anaweza kuwa na vision nzuri sana lakini akaishia kuwa frustrated kwa maamuzi mabovu yanayoangalia siasa zaidi kuliko mahitaji halisi ya huduma kwa jamii.
Kwa hiyo Mwandosya yawezekana aliwekwa huko ili akapumzike na kupoteza umaarufu kabisa. Hivi siku hizi mnasikia tena kelele za Magufuli? Alipokuwa Ujenzi ni kila siku alikuwa kwenye magazeti na takwimu za barabara zote za Tanzania akiwa nazo in his finger tips. Akaenda Wizara ya Ardhi akaonekana bado anaonekana kwenye vyombo vya habari, baada ya hapo ni juzi tumemsikia kwenye sakata la wavuvi haramu na sijamsikia tena. Siku hizi ameamua kujiunga na wapiga debe wa kampeni za CCM, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Busanda akimpigia debe mgombea wa CCM.
CCM imeishapoteza mwelekeo na wengi walioko huko wapo tu kwa kuwa hawana jinsi, lakini majority of them wako frustrated sana. Kwa nje unaweza kuhisi kwamba wana mtandao wameshika nchi, lakini si wote. Kwa hiyo kilichobaki ni kusindikizana tu.
Si afadhali Dar ni wiki tatu tuu, Busanda tangu kabla ya uhuru, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna maendeleo ni dhiki, njaa na umasikini uliokithiri huku wamezungunkwa na utajiri wa madini, lakini chama cha kuchaguliwa ni CCM, itakuwa wiki tatu!?.Hata hivyo Dar- hakuna maji wiki ya tatu sasa!
Maji maji! Mwandosya kafanya nini?
Kama mwandosya aliona kapewa ili apumzike na ana vision nzuri "angeondoka aende vyama vingine" the fact that yupo anatakiwa alete maji kwa wananchi akishindwa ameshindwa yeye na waliomweka, therefore I find him ni different hana vision, hana chochote mchumia tumbo lake kama wenzake finito!Rais akikuteua uwe waziri wa maji ni sawa na kukuchongea kwa wananchi. Serikali yenyewe priorities zake hata hazijulikani, waziri anaweza kuwa na vision nzuri sana lakini akaishia kuwa frustrated kwa maamuzi mabovu yanayoangalia siasa zaidi kuliko mahitaji halisi ya huduma kwa jamii.
Kwa hiyo Mwandosya yawezekana aliwekwa huko ili akapumzike na kupoteza umaarufu kabisa. Hivi siku hizi mnasikia tena kelele za Magufuli? Alipokuwa Ujenzi ni kila siku alikuwa kwenye magazeti na takwimu za barabara zote za Tanzania akiwa nazo in his finger tips. Akaenda Wizara ya Ardhi akaonekana bado anaonekana kwenye vyombo vya habari, baada ya hapo ni juzi tumemsikia kwenye sakata la wavuvi haramu na sijamsikia tena. Siku hizi ameamua kujiunga na wapiga debe wa kampeni za CCM, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Busanda akimpigia debe mgombea wa CCM.
CCM imeishapoteza mwelekeo na wengi walioko huko wapo tu kwa kuwa hawana jinsi, lakini majority of them wako frustrated sana. Kwa nje unaweza kuhisi kwamba wana mtandao wameshika nchi, lakini si wote. Kwa hiyo kilichobaki ni kusindikizana tu.
Labda kama ulitarajia ayeleta kwa style ya Musa kugonja fimbo kwenye jabali na chemchemu ikatokea!.Kama mwandosya aliona kapewa ili apumzike na ana vision nzuri "angeondoka aende vyama vingine" the fact that yupo anatakiwa alete maji kwa wananchi akishindwa ameshindwa yeye na waliomweka, therefore I find him ni different hana vision, hana chochote mchumia tumbo lake kama wenzake finito!
Credibility haitokani na maneno ya mwana JF, hizo ni wishes zako, credibility ni kwamba ukiona watu wana ku-sideline unafanya uamuzi sahihi quit with respect! vilevile professionals hahahaha! professional politicians yes otherwise I beg to differ! wachumia tumbo hakuna maji tanzania he is a failure yeye na aliyemuweka no different!Labda kama ulitarajia ayeleta kwa style ya Musa kugonja fimbo kwenye jabali na chemchemu ikatokea!.
Miongoni mwa mawaziri credible wa JK, ni Mwandosya na Magufuli na wamepewa hizo wizara ili kuwaweka mbali na 2015.
Jamaa sio wababaishaji, very professional japo sometimes wanachemsha na kuhamanika kama Magufuli na samaki wa wizi, na Mwandosya na siasa za Mbeya.
JF kwa mifano na reference... hatujamboLabda kama ulitarajia ayeleta kwa style ya Musa kugonja fimbo kwenye jabali na chemchemu ikatokea!..
JF kwa mifano na reference... hatujambo
Hana lolote prof. mzima unaendeshwa na mkwere kama ameona hatumia utaalamu wake ana quit ..hapo ndio tutaona "siyo profesa wa kuchumia tumbo lake" he is in the list of failed professors in Tanzania..Lol big shameMWANDOSYA ni mtabe wa telecom,na computer engineering!nakumbuka prof luhanga alikuwa nasema tukiwa chuo kwamba tz hii kuna maprof wawili tuambao wanajulikana KIMATAIFA,yeye(mathew) na mwandosya!jamaa ni mzuri sana kwenye computer engineering!ndo maana ben alimpa ile wizara ya sayansi.......
Sasa visa vya huyu 'mkwere' kumweka sehemu ambayo hataweza kutumia utaalamu wake NI UBINAFSI MKUBWA,NA UROHO MKUBWA SANA WA MADARAKA!
The government is misusing tje resources!tatizo ni huyu 'mkwere'.sijui yukoje huyu