palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Cheyo anajua ubunge wake unaishia kesho hawezi kurudi bungeni october..
Nilimsikia na ni wazi akiwa raisi atakuwa mbabe sana!
Cheyo hana jimbo tena, nasikia manyantuzu yamemwambia ametosha maana hajafanya chochote jimboni kwake
mwandosya ana matatzo.