Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,865
- 18,146
Amesema baada ya kupita bila kupingwa kwa miaka 15 (vipindi vitatu) kama mbunge wa Rungwe Mashariki (Busokelo) sasa ameamua kung'atuka ubunge na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kulitumikia taifa katika ngazi nyingine!
Ametoa kauli hiyo leo wakati akichangia bungeni hoja ya waziri wa nchi ofisi ya rais!
Ametoa kauli hiyo leo wakati akichangia bungeni hoja ya waziri wa nchi ofisi ya rais!