SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 910
- 1,394
Maisha ni nukta mbili tu, Kuzaliwa na Kufa.
Kua mwanamke haimanishi kua hawez milika hata jeshi.Mwanamke tana mwandishi wa habari ana miliki genge la uhalifu? au wamesahau ila anamiliki genge la mamanitilie na kuna marufuku ya korona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule boss wa migration ni mwanaume labdaKua mwanamke haimanishi kua hawez milika hata jeshi.
Hata nchi n.k
Kundi la utekaji!YAANI MWANAMKE TENA MUANDISHI WA HABARI ANAMILIKI GENGE LA KIHARIFU?? MBONA KAMA KUNA KILA AINA YA UONEVU HAPA
Kweli akiwa mwanamke aweza kuwa mhalifu tena hatari hadi danger. Ila, mhh hata ule mkao kwenye picha tu na lile likanga, na umri wake mdogo hivyo yaani 40na ushee? ? Kweli? ? wamfutie shitaka wambambikie jingine hata la kuuza cha Archuga. Tutawaelewa kidogo
Ndiyo maana upelelezi haujakamilika eti!Huyo mwandishi aliwahi kuandika nini kikiwa negative dhidi ya wenye nguvu?
Mwenye dondoo aweke tuunganishe dots kama hawakuwahi kuandika vibaya basi wabebe zigo lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli akiwa mwanamke aweza kuwa mhalifu tena hatari hadi danger. Ila, mhh hata ule mkao kwenye picha tu na lile likanga, na umri wake mdogo hivyo yaani 40na ushee? ? Kweli? ? wamfutie shitaka wambambikie jingine hata la kuuza cha Archuga. Tutawaelewa kidogo
Natamani kumjua mmiliki wa hilo gazeti la Jamhuri ni nani
Kuna watu wameumbwa kubisha hata kama ukweli upo wazi bado kubisha ni kasumba yao sasa kwa hawa watuhumiwa ukweli upo mahakamani mtu anasema wameonewa fedha walizoomba wamekamatwa nazo bado watu fulani wanadai wameonewa wangeachwa bado wangesema serikari wazembe,sasa kipi bora serikari yako kuwa wazembe au watenda kukamatwa kufikishwa mahakamani Kisha kuambiwa waonevu? Wangeuliwa je mngesemaje?
Makada hawajambo kwa uhalifu. Kilangila.Si gazeti la kada hili?
Hata aibu huna? Kilangila.
Kinavhoandikwa kwenye hati ya mashtaka ndo uthibitisho wa kosa? Kama ni uthibitisho kwa nini kinabishaniwa na pande mbili hadi mwisho wa kesi? Charge sheet ngapi zinapelekwa mahakamani baadaye tunaambiwa kesi imefutwa kwa kosa kutothibitika? Acheni ubabe wa kudhani kwa vile mko upande wa CCM basi mko salama na mnajua kila kitu. Yatawageuka siku moja hamtaamini, kama siyo nyie basi vizazi vyenu vitajibu.Uzuri na uthibitisho wa kazi ya genge lake upo ambayo ndo huyooo m30 alizoomba kwa mtekwa sa sijui anasingiziwaje hapo
Ccm ni mahakama? Je wale wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na ofisi gani za ccm je ccm wanafungua file la kesi? Usilete siasa kwenye uvunjifu wa amani yatakukuta ukose wa kumlaumuKinavhoandikwa kwenye hati ya mashtaka ndo uthibitisho wa kosa? Kama ni uthibitisho kwa nini kinabishaniwa na pande mbili hadi mwisho wa kesi? Charge sheet ngapi zinapelekwa mahakamani baadaye tunaambiwa kesi imefutwa kwa kosa kutothibitika? Acheni ubabe wa kudhani kwa vile mko upande wa CCM basi mko salama na mnajua kila kitu. Yatawageuka siku moja hamtaamini, kama siyo nyie basi vizazi vyenu vitajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
So, kumbe amepatikana na clasified info? ? Mwache aionje seloHuyu ni mwandishi wa habari tena mwanamke. Anaweza kuwa na taarifa nyingi sana so kushiriki aina hii na uhalifu ni rahisi sana kuliko kuuza huo mzigo wa Arusha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabisa maana Kuna uonevu hapa na huyo anaeekaje mil 30 ndani Kama sii jambazi nadhani wanze na huyoNgoja nizame chimbo nakuja na majibu
Hii story haijakamilika kuna sehemu ina ukakasi. Ingawa pia inawezekana kweli bi dada ana shida sehemu na mihimili yetu ya nchi. Safari hii sio ununio bali daraja la mkapa. Kaka TuchatSerikali imemfikisha mahakamani mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamhuri, Angellah Kiwia (41) na mwenzake wakituhumiwa kwa mashtaka manne, ikiwemo utekaji nyara.
Angellah na Mohamed Rushaka (36), wamefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashid Chaungu na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Ester Martine.
Wakili Ester alidai katika shtaka la kwanza, washtakiwa wanadaiwa kati ya Machi mosi na Machi 31, 2020 katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, kwa makusudi waliongoza genge la uhalifu kwa lengo la kujipatia faida.
Katika shtaka la pili la utekaji nyara kwa lengo la kudhuru, washtakiwa wanadaiwa siku hiyo katika Jiji la Dar es Salaam, walimteka Seleman Mohamed wakiwa na lengo la kumpeleka katika hatari ya kumuumiza.
Katika shtaka lingine, washtakiwa hao wanadaiwa wakiwa na lengo la kulipwa, walidai kiasi Sh milioni 30 kutoka kwa Seleman Mohamed, huku wakimtishia kumuua.
Shtaka la mwisho la kutakatisha fedha, washtakiwa hao wanadawa katika kipindi hicho walijipatia Sh milioni 30 kutoka kwa Mohamed, huku wakijua kuwa fedha hizo ni zao la makosa tangulizi ya kuratibu genge la uhalifu.
Upande wa Jamhuri ulidai upelelezi haujakamilika hivyo wanaomba tarehe nyingine kwa kesi kutajwa.
Washtakiwa hawakutakiwa kujibu lolote, Hakimu Chaungu aliahirisha kesi hiyo hadi Mei 25, itakapotajwa na wamerudishwa rumande kutokana na mashtaka yanayowakabili kutokuwa na dhamana
View attachment 1447840
Muulize wamburaHii
Hii story haijakamilika kuna sehemu ina ukakasi. Ingawa pia inawezekana kweli bi dada ana shida sehemu na mihimili yetu ya nchi. Safari hii sio ununio bali daraja la mkapa. Kaka Tuchat