VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Sep 13, 2013 #2 Afadhali aachiwe na Polisi kuliko raia. Wakimuachia raia,kichwa chake kitakuwa mali ya ardhi Mzee Tupatupa
Afadhali aachiwe na Polisi kuliko raia. Wakimuachia raia,kichwa chake kitakuwa mali ya ardhi Mzee Tupatupa
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Sep 13, 2013 #3 Kama lile sakata la wabonge
Bumpkin Billionare JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 1,332 Reaction score 621 Sep 13, 2013 #4 Sasa si watambaralua wajamini. Anadaiwa pesa ngapi nimlipie?
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 Sep 13, 2013 #5 Ingekuwa polisi wa kibongo utumbo wa mwandamanaji mmoja ungekuwa nje.. Na wengine ungesikia wamekatwa na kitu chenye ncha kali..
Ingekuwa polisi wa kibongo utumbo wa mwandamanaji mmoja ungekuwa nje.. Na wengine ungesikia wamekatwa na kitu chenye ncha kali..
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Sep 13, 2013 #6 Na hicho kitambi mwee
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Sep 13, 2013 #7 Wapiga picha wanaomba songombingo liendelee,hawa wanaweza kukuacha unakufa wao wanachojali ni picha tu.
Wapiga picha wanaomba songombingo liendelee,hawa wanaweza kukuacha unakufa wao wanachojali ni picha tu.
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Sep 13, 2013 #8 Wapigwee wapo kazini